(+255)743 462 206 Donate Now

#NITALINDA

AFYA YANGU

Je, ni nini rai yetu kwako ...?
Tunapokutana na changamoto za kiafya, wengi wetu huishi katika hofu, sintofahamu, na wakati mwingine kukata tamaa. Ndiyo maana SwahiliMedics ipo kama daraja la matumaini kati ya tiba za asili na maisha bora ya kiafya. Rai yetu kwako ni moja: tuchukue hatua kwa pamoja kurejesha tabasamu kwa jamii zetu kwa kutumia maarifa ya tiba asilia, mimea ya asili, na ushauri wa kitaalamu unaotegemea mazingira yetu.

Kwa pamoja, tunaweza kujenga jamii yenye uelewa, yenye afya bora, na yenye kuthamini suluhisho endelevu kutoka kwenye mizizi yetu halisi. Tunakualika kuwa sehemu ya mabadiliko haya.

Huduma zetu
Anti Poverty

Shuhuda za wateja Wetu.

Anti Poverty

Watu wanapano nguvu za kiume bado wewe tu jiunge nawe urudishe heshima ya ndoa.

Pata huduma
Family Community

Wenzako wanapata dawa kutoka kwenye kwenye mimea asili tenah inayo tuzunguka , sijui ww unasubiri nini. Jiunge na SwahiliMedics

Pata huduma
Teen Programs

Wanawake kama ww ambao hawakua na tumaini la kuona PID sugu, wanapona wewe unasubiri nini kujiunga na swahili medics upone leo.

Pata huduma
Teen Programs

SwahiliMedics ndio nyumbani wenzako hawataki kuondoka , wewe tu unasubiri nini kujiunga na swahili medics

Pata huduma
Teen Programs

Wanawake wenzako sasa wanafurahia tendo , wewe unasubiria nn kuja Swahili Medics kujipatia huduma na Tiba zetu ni uhakika Vipengele labda uje navyo wewe.

Pata huduma

Karibu sana SwahiliMedics

#NITALINDA AFYA YANGU

Kwa Namna gani tumesaidia watu..!
kufikia sasa tumeshasaidia watu zaidi ya 1000+ wenye matatizo ya kiafya ambayo yanatabia ya kuleta usugu kama vile VIDONDA VYA TUMBO, BAWASIRI, UTI, PID, MATATIZO YA HOMONI, MATATIZO YA NGOZI, MATATIZO YA UZAZI NA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO, MATATIZO YA VIUNGO KAMA MAUMIVU, GANZI n.k tumefanikiwa ndani na nnje ya tanzania ambapo tumetengeneza familia kubwa sana ya watu ambao wamekua wajumbe wazuri sana wa kutetea afya zao na kuepukana na adha ya kuhudhuria hospitali mara kwa mara na kuweza kuepusha gharama zisizo na ulazima na kumaliza matatizo mengi sana ya kiafya wakiwa nyumbani.

Unaweza piah kuchangia SwahiliMedics, Ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi, nakuendelea kusupport charity events zetu za swahilimedics

Huduma Zetu Donate Now
Child 1 Children

SwahiliMedics #Charity Foundation
#NTALINDA AFYA YANGU

Kuwa Sehemu ya Jamii ya SwahiliMedics, Toa Tumaini Jipya;
Ungana nasi leo kwa kuunga mkono juhudi za SwahiliMedics katika kuwahudumia walio katika uhitaji mkubwa. Tunatembelea watoto yatima, wagonjwa, na wazee kupitia matukio ya kutoa msaada (charity events), tukiwapa huduma za afya na matumaini mapya. Mchango wako utasaidia kufanikisha kazi hii njema na kufikia watu wengi zaidi katika jamii. Kuwa sehemu ya mabadiliko — changia leo na ujiunge na familia ya SwahiliMedics.

Changia

#NTALINDA AFYA YANGU

Kila mtu anastahili tabasamu tenah, usiwe Muhanga wa Magonjwa, na mraibu wa dawa karibu swahilimedics tukuhudumie kwa Tiba asili na Tiba Lishe.